JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha nasubiri akujibu, ila hujajibu kama na wewe ni mmoja wao ujue[emoji85]
Unajua nilihamaki hivyo maana na hizo balimi ulizopiga usije nikosea adabu na kunipigia psyiiii ukifikiri mimi sio dada ako.
Balimi sio za kisport mkuu so tahadhar lazima nichukue.
Huoni hapa ushasahau kama mimi ni dadako unataka majibu kutoka kwa watu?[emoji38] [emoji85]
 
Hujawahi kinieleza ni bakora ipi anakufundishia huyu kaka yangu, sisi michezo yetu ni very unique and healthy and more important good about the michezo is confidential[emoji12]
Eeeeh! Naomba uniazimishe huyo mwalimu wako kwa siku 3 tu ili nijue kama anamzidi uwezo mwalimu wangu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hujawahi kinieleza ni bakora ipi anakufundishia huyu kaka yangu, sisi michezo yetu ni very unique and healthy and more important good about the michezo is confidential[emoji12]
[emoji3] [emoji3]
Wacha weeh
Ndo maana siku izi naona unatoka shavu tu, kweli michezo ni afya[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…