Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Wee unakesha tuuKulalaje tena?
Nasonga ugali kilo 1, na dagaa. Kisha najiandaa kwenda kukaba๐Sera zetu๐ Panga mkononi.Jpili leo.. tunaenda viwanja vipi..?
Daaah kahawa zinawaaribu nyieAna zania kila mtu, ana lala Kama mbuziii๐๐๐๐ Poor Brain
Alafu hivi wee upo KATAA NDOA GANG..?Nasonga ugali kilo 1, na dagaa. Kisha najiandaa kwenda kukaba๐Sera zetu๐ Panga mkononi.
๐ Roho begani
Situmii kahawa,sigara bangi na hata bange. ๐Wanawake wapitee kule.Daaah kahawa zinawaaribu nyie
Wee unatumia nini sasa...๐ค๐ค๐ค๐คSitumii kahawa,sigara bangi na hata bange. ๐Wanawake wapitee kule.
Natafuta pesa, niishi ndani ya malengo na ndoto zangu๐๐ชAlafu hivi wee upo KATAA NDOA GANG..?
Kuna mda wa ku relax sasaNatafuta pesa, niishi ndani ya malengo na ndoto zangu๐๐ช
Just focusing, msosi, movie, game,music and WWE. Are my favorite ๐ช๐ชWee unatumia nini sasa...๐ค๐ค๐ค๐ค
Elon musk alipumzika saa 1 tu, Tena muda wa kulala. So am trying to achieve my vision.๐ช๐๐Kuna mda wa ku relax sasa
Unapumzka lisaa limoja kweli...?Elon musk alipumzika saa 1 tu, Tena muda wa kulala. So am trying to achieve my vision.๐ช๐๐
Yeah. and I enjoy itUnapumzka lisaa limoja kweli...?
Kiberiti?Napenda harufu ya hii kitu asseeView attachment 2547894
Napenda harufu ya hii kitu asseeView attachment 2547894
๐๐Harufu ya fa au io cndm hapo juu๐ ๐ ๐Napenda harufu ya hii kitu asseeView attachment 2547894
Harufu ya moshi๐๐Harufu ya fa au io cndm hapo juu๐ ๐ ๐
Sijui kwann naipenda aseeSi unamaliza kiberiti
Kiberiti?
Sijui kwann naipenda asee