JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] ina maana nimekuwa mchochezi kukuzidi wewe mwl.wangu?
[emoji3] [emoji3]
Mimi hata robo sikufikii, tena naona utakua unanichora sana nikiwa nakufundisha, na vile nina shati moja na kasuruali kamoja sijui itakuweje[emoji6]
 
Bahati yako sijuagi kuchora kabisa,ila hata ningejua nisingefanya hivyo,maana bado nina mengi ya kujifunza kutoka kwako....hasa ubobezi wa kuandaa hizi tiba mbadala za kuchanganya bobadia na piriton,supu ya ulimi wa mamba n.k
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakika wewe ni mwanafunzi mwema, na ninaahidi kutumia mbinu zangu zote kuhakikisha umefika kilele cha kuelewa, can't wait to teach you[emoji12] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…