Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Ngoja nipone. Siku nikinywa wine yangu nakutajia...Bantu Lady sina ID nyingine..
Unataka Intelligent businessman aanze kunipa majina mengine ya ajabu humu...
Mi ID yangu ni hi hi till naingia jf hapa
π€π€π€π€ Hiyo ID unaozania ni ipi
Ila anataka mkwe Sasa π πRafikiyangu yaani ananielewa vibaya sana
Sivunji mm atapokea sms ndo atavunja navoandika magazetπππ
Hahahaha matusi hamna ila naandika sanaππMkeka usio pungua maneno 1700.
Mchambo + matusi
Ahahahahahah mbona hatari hiyo
Wewe hata hunipi shida. Na hivi uko single. Nakufungia ndani siku moja tu. Yaani adhabu yako nakupa penzi ambalo hujawahi pewa, ukaweweseke nalo huko mbeleNikitoka hapo, nakufinyanga Kama tonge la ugali, kiSha nalitupa liliwe na paka.
πHuyo paka akilila afe, akifa mzoga wake uliwe na kunguru.
πKunguru apigwe na shoti apotee Kama Moshiπ€£π Bantu Lady
I mean no malice to nobody
NdiO Maana ikawekwaMfukunyukuπππ€π€π€π€ππ
Wewe hata hunipi shida. Na hivi uko single. Nakufungia ndani siku moja tu. Yaani adhabu yako nakupa penzi ambalo hujawahi pewa, ukaweweseke nalo huko mbele
Sitaki yule nikimkosea mumewangu atanichamba mbele ya wakweππππIla anataka mkwe Sasa π π
Huyo ndio mzuri, hataki kulea ujinga π πSitaki yule nikimkosea mumewangu atanichamba mbele ya wakweππππ
Ujakutana na hawa waHahahaha matusi hamna ila naandika sanaππ
Baada ya masaa naanza na magazet ya samahani uisponielewa utapata tabu sanaπππ
Njia mpya ya kummaliza mwanaume.... akija hapa atabaki kuchekacheka tuI mean no malice to nobody.
Mafuta
Mangumi
Mateke
Penzi tenaπ€π€π€π€
O Bantu Lady hizo genye nazitolea wapiπ€£ππ, maana nimevurugwa na starehe zangu. Kila starehe Ina nitaka SanaWewe hata hunipi shida. Na hivi uko single. Nakufungia ndani siku moja tu. Yaani adhabu yako nakupa penzi ambalo hujawahi pewa, ukaweweseke nalo huko mbele
Anacheka cheka tuu.. sipati picha aiseeeNjia mpya ya kummaliza mwanaume.... akija hapa atabaki kuchekacheka tu
Ndiyo utajua hujui hapohapo zitakuja. Famasihara namimi...O Bantu Lady hizo genye nazitolea wapiπ€£ππ, maana nimevurugwa na starehe zangu. Kila starehe Ina nitaka Sana
Labda so mfalme wa misosi, the intelli myselfπNjia mpya ya kummaliza mwanaume.... akija hapa atabaki kuchekacheka tu
Mmmh utakufaπ€π€π€O Bantu Lady hizo genye nazitolea wapiπ€£ππ, maana nimevurugwa na starehe zangu. Kila starehe Ina nitaka Sana
Siku izi nimejifunza somo la ku control Akili na mwiliNdiyo utajua hujui hapohapo zitakuja. Famasihara namimi...
Dogo, ma legend Kama Nicholas Tesla, da Vinci, Newton, mbona hawakufaaMmmh utakufaπ€π€π€
π€π€π€ππ Fanya yaishe basi..ππππ€π€Ngoja nipone. Siku nikinywa wine yangu nakutajia...
Ahahahahahah na hawakuwahi kutaka hivyo unavyotaka wewe sasa π€π€π€Dogo, ma legend Kama Nicholas Tesla, da Vinci, Newton, mbona hawakufaa
Ninavyo vitaka unavijua???,Ahahahahahah na hawakuwahi kutaka hivyo unavyotaka wewe sasa π€π€π€