Usiku wa balaaNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Nimerudi, nilienda kusoma uzi wa Kimasihara 03:27Hahaha tupo mbona
Hivi Mwachiluwi kapotelea wapi aisee? π π πNaona chama Cha wezi wa kimataifa kimekuwa 5 star mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo Poor Brain, na chambo wa chama Cha wezi Analyse