Tupoo mkuuπππSiamini kama nimeachiwa nilinde peke yangu hapa na huu ukimya
Mbona kimya sasa, mnataka mpaka mtu achukue ndoo ya maji na kuoga hapo nje mumzodoe?Tupoo mkuuπππ
We oga tuuu hatuoni walaaaπππMbona kimya sasa, mnataka mpaka mtu achukue ndoo ya maji na kuoga hapo nje mumzodoe?
Nimesikia kuna kitu kimedondoka huko barazani najua kuna mtu kaangusha tu alikuwa ananyatia. Siogi nje muda huu mmeshaamkaWe oga tuuu hatuoni walaaaπππ
Tuko bizy.. tunajiandaa andaa na morning glory ππ
Hadi kieleweke mkuuπTuendereeee
04:30
ππΏππΏ...Morning glory timeπππ
Tujiandae kwa maombi na mazoezi guysπππ
Kumekucha mkuu.
HAPA MKUU
Safi mida ya kupiga morning glory, alafu singles tunapiga mihayoHAPA MKUU