AsanteKwa kweli hayo utapata
Mrembo mamboOyooooooo
Popoooz mpoooooo?
Asanteh HBKaribu ney
Demi MoreAcha tu ndugu yangu. Walimwengu wabaya sana wanaweza wakakuvuruga mpk ukachanganyikiwa.
Pouwaahabari gan pande hii
Pole sana rafiki yanguAcha tu ndugu yangu. Walimwengu wabaya sana wanaweza wakakuvuruga mpk ukachanganyikiwa.
Poa dear za masiku teleMrembo mambo
Naona Sakayo tayari ameshaingia kwenye njozi njema.Mrembo mambo
Salama dingi mzima wewe?habari gan pande hii
Asante mpendwa. Na ww hujalala tu?Pole sana rafiki yangu
Missing you myfriend, pumzika salamaNatamani iwe hivyo,ila leo siko vizuri mkuu. Nyie endeleeni tu
Mwenzangu acha tuu shogaa, bado nipo macho natafuta usingiz hapaAsante mpendwa. Na ww hujalala tu?
Haya tukeshe hakuna namnaMwenzangu acha tuu shogaa, bado nipo macho natafuta usingiz hapa
Nzuri mamy, vipi wewePoa dear za masiku tele
Nipo MkuuNaona Sakayo tayari ameshaingia kwenye njozi njema.
Na kweli tupambane tuuHaya tukeshe hakuna namna
Nipo poa kwakweli namshukuru Mungu, Vipi maendeleo yako kwa ujumla?Nzuri mamy, vipi wewe
YeeessDemi More