JamiiForums Usiku wa manane

Poker anakwambia kila akifanya ujambazi wenzie wote wanakufa anabaki yeye mara ya mwisho kaporochoka makaburini kakurupushana na wachawi kaenda kuibukia msikitini
Mimi walikamata, wakaniuua.
πŸ‘‰Mwili wangu wakampa paka, paka akapewa sumu.
πŸ‘‰Alivyokufa, akaliwa na kunguru, kunguru akapigwa shoti.
πŸ‘‰akageuka Moshi, 🀣🀣- so unaona uhatari wanguuu stow away
 
Ivi GUYS.. kwanini wanandoa wakikaa muda mrefu, kunawakati unafika unaona kama wanafanana vileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ like siblings 😁😁😁why?
 
Ivi GUYS.. kwanini wanandoa wakikaa muda mrefu, kunawakati unafika unaona kama wanafana vileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ like siblings 😁😁😁why?
Wewe mnafafana kwani ?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚badoo hatujakaa muda mrefuu
Basi subiri mkae kwanza mda mrefu mtafanana tu maana ntakua msharuka majaba mengi ya mpunga yaan mshasomana kwa hio lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…