Mungu anasaidia kwa kweliNipo poa kwakweli namshukuru Mungu, Vipi maendeleo yako kwa ujumla?
Mimi Leo usingizi umegoma kabisaaaa!!!Nipo Mkuu
Njia gani nzuri ya kutafuta usingizi mkuu???Yeeess
Labda bangeNjia gani nzuri ya kutafuta usingizi mkuu???
Asanteh sana, ulale salama.Naona network ya voda inachechemea. Naomba niwatakie usiku mwema, malaika wa bwana awa kumbatie, awa bariki na muwe na siku njema.
Ukioga ndo unakimbiza usingizi. Kama una kitabu chochote cha dini hapo karibu chukua usome, utaona usingizi huooAhahahaaaa huko Sasa sio mkuu!!!
Nimejaribu kuoga wapi.
HahaMimi Leo usingizi umegoma kabisaaaa!!!
Hata dalili ya usingizi haipo kabisa.
Sakayo nakuja unisimulie hadithi njoo utamu kolea
AmenNaona network ya voda inachechemea. Naomba niwatakie usiku mwema, malaika wa bwana awa kumbatie, awa bariki na muwe na siku njema.
HahaLabda bange
Kitabu tena mkuu??Ukioga ndo unakimbiza usingizi. Kama una kitabu chochote cha dini hapo karibu chukua usome, utaona usingizi huoo
AkuuuAtakayeweza kuwepo hapa hadi saa Tisa usiku namtumia BREAKFAST YA NGUVU ASUBUHI ya kesho.
Nini tena mkuu??Akuuu
Naweza ila sijazoea vya bureNini tena mkuu??
Huwezi kufika saa 9 usiku??
Ahahahaaaa!!!Naweza ila sijazoea vya bure
Kitabu lazima usinzieKitabu tena mkuu??
Labda niende nikaangalie movie ya THE WRONG TURN part 7.
(The last resort).
This is too good to be true!Kitabu lazima usinzie