Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ex wangu alinicheat mshikaji nikajua tukajuana masela tukaaza kutambiana mzee end of the day mshikaji kaachia ngazi nikapanda nikawa nikitoka kwenye gemu namtumia picha jmaa alinichukia mpaka kaniblock πππHizi moment nadra sana kuzipata π π π ndio maana ma simba dume yanafukuzaga madume matoto yanapokuwa
π π π mtemi nyikani ndio atamiliki ngomeEx wangu alinicheat mshikaji nikajua tukajuana masela tukaaza kutambiana mzee end of the day mshikaji kaachia ngazi nikapanda nikawa nikitoka kwenye gemu namtumia picha jmaa alinichukia mpaka kaniblock πππ
Okay sasa nimeelewa vizuri. Nakuona tu umeshajua kutumia pm? Maana ulimwambia Ma Faiza umemtumia pm π π π π πUkiitwa hivyo kiasi Fulani inapunguza kujifeel inferior afu nzuri zaidi uwe na vichenchi vya kula na kunywa Kwa watoto wazuri kama wewe
Af alikuwa mswahili mjuba dah πππ sema hakuwa na pesaWajuba walipita naeee, I mean no malice to nobody ππ€£π
Nikikutana na halii hii uwa napiga bao mbili za kukomoa sipaki mkongo ila nashindilia sana kama nashindilia kifusiMzee najua ataenda nae kulala ila na mie nitapiga kimoko hata cha choo cha kike π€£π€£π€£π€£ hapa namuaga ajue nime sepa kumbe naenda kaa angle ya kuangalia choo cha kike
Dah acha tu jamaa ananichukia balaa akiniona anatamani anipige af nifundi gereji mzeeπ π π mtemi nyikani ndio atamiliki ngome
Ko wote mlikuwa mavula π€£ππ, sema nilipita mwanza Kuna piss niliziona ni konkiiπAf alikuwa mswahili mjuba dah πππ sema hakuwa na pesa
a namba mkuu najua ww ni nyoka wa picha πππ toa namba kesho nikupe mrejesho mtu mbadKo wote mlikuwa mavula π€£ππ, sema nilipita mwanza Kuna piss niliziona ni konkiiπ
Makosa ya kifundi yameishafanyika ... kwaherini mazeee kesho nayo ni siku π πNikikutana na halii hii uwa napiga bao mbili za kukomoa sipaki mkongo ila nashindilia sana kama nashindilia kifusi
Usiniambie pisi ishajileta geto na hujatumia nguvu kumuita ππMakosa ya kifundi yameishafanyika ... kwaherini mazeee kesho nayo ni siku π π
Teh teh teh unajua Kuna muda mwingine napenda uchokozi au ugomvi wa lazima.Bahati mbaya nikiwa katika hali hii Kila nikichokoza inaleta matokeo hafifu.Okay sasa nimeelewa vizuri. Nakuona tu umeshajua kutumia pm? Maana ulimwambia Ma Faiza umemtumia pm π π π π π
pm yangu mbovu, nitashindwa kukufundisha π π π πTeh teh teh unajua Kuna muda mwingine napenda uchokozi au ugomvi wa lazima.Bahati mbaya nikiwa katika hali hii Kila nikichokoza inaleta matokeo hafifu.
Pm nimeweza kuitumia ila kiasi chake naamini unaweza ukawa mwalimu mzuri zaidi
Mkuu mi sitongozi Kama mbuzi mkuu, kila tundu unanusa hovyooππ. I mean no malice to nobodyTo
a namba mkuu najua ww ni nyoka wa picha πππ toa namba kesho nikupe mrejesho mtu mbad
π€£π€£π€£π€£ nilikuwa namjaza upepo aache spaceUsiniambie pisi ishajileta geto na hujatumia nguvu kumuita ππ
Kwahio umeamua kunitusi mimi nanusa nusa kila tundu nimekuwa paka? ππMkuu mi sitongozi Kama mbuzi mkuu, kila tundu unanusa hovyooππ. I mean no malice to nobody
Kwaza huyo mzee mshamba sana sipendi mtu anitumie text uku ameandika helufi kubwa kaambiwa una matatizo ya macho ?π€£π€£π€£π€£ nilikuwa namjaza upepo aache spaceView attachment 2564220
I mean no malice to nobodyKwahio umeamua kunitusi mimi nanusa nusa kila tundu nimekuwa paka? ππ
Mzee mjanja sana sema kakutana na muhuni, kaanza hudumu enzi za mwinyi, mkapa na jmp kitengo alie staafu latika zama zao π π ila hapa lazima akae kwa mtoto wa mbwaaaKwaza huyo mzee mshamba sana sipendi mtu anitumie text uku ameandika helufi kubwa kaambiwa una matatizo ya macho ?
Sema utaua mzee kwa presha
Usiniadhibu kwa kizunguI mean no malice to nobody