Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Me mzima miss ney za masiku?Salama dingi mzima wewe?
TehAhahahaaaa!!!
Acha uoga wewe.
Yaani unaogopa hadi offer ya BREAKFAST?
Sasa ukipewa offer ya Smartphone itakuwaje mkuu!!!
Tunapaswa kuishi kwa upendo
uhali gan wewe miss sakayoPouwaa
AiseeKuna tetesi hapa nimepata kwenye group kwamba namna pekee ya kupata usingizi ni kuhakikisha unapunguza nguo zote mwilini.
Sijambo Duhali gan wewe miss sakayo
Hakua na maana hiyo Sakayo.Teh
Hamna cha bure Mkuu, nakumbuka kauli ya mkulu ukila cha mtu nawe lazima uliwe....[emoji124] [emoji124] [emoji124]
KaribuKokokokoo
Ulale!!Karibu
Mkuu hii nini??Kokokokoo
me nipo bomba, weekend inaendajeSijambo D
Vipi wewe jamani
Hiyo ITALIA veeepe...Hakua na maana hiyo Sakayo.
Alimaanisha kwamba ili tupate faida zaidi kwenye sekta ya ITALIA basi lazima tuingie gharama kijitangaza.
Wewe hutaki?Aisee
Kila la kheri
UtaliiHiyo ITALIA veeepe...
Asante kwa ofa Mkuu, ila mie sio muumini
AbeeehUlale!!
Iko poa, ndo kama hivi tuko lindome nipo bomba, weekend inaendaje
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwamba umegoma kabiiisaaa!!!Abeeeh