zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,039
- 3,613
Sitasahau hizo mambo za kutunza,niliingia mango garden,live bend ,na ka elfu 50 kangu ka ngama,kula vyombo kidogo ,nikajikuta nimeiga kutunza ,nilitembea kwa miguu mpaka home,nimechachaaa,starehe gharamaBoss kama boss nimeimba hata hujanitunza kweli dah boss unatuangusha π π π π π π
Asante Big Boss ukihitaji chawa niko hapa... hizi tabia nimefundishwa na Johnnie Walker ππππππ maana ni chawa mwandamizi humuMkuu nayafuatilia mashairi yako kwa ukaribu kabisaa
Uko vzr sanaaΓ
Inastahili pongezi
Boss tatatibu ushaaza msifia kipenzi changu tena mimi ni muhehe nikipata hasira najinyonga mzee nihurumie kidogoMkuu nayafuatilia mashairi yako kwa ukaribu kabisaa
Uko vzr sanaaΓ
Inastahili pongezi
Ivi kwanini unapenda kunipokonya tonge mdomoni ee embu usimsumbue boss leo kaja kutuona ukuAsante Big Boss ukihitaji chawa niko hapa... hizi tabia nimefundishwa na Johnnie Walker ππππππ maana ni chawa mwandamizi humu
NIkiwa nimeboreka huwa nacheza game tu kwa phone ila dah nawaza kesho itakuwaje juu ya usingizi wa mchanaUwa anapenda nini sana sana bwana mkubwa
Uyo tunaweza kuongea,awe ametoka ccp Moshi,niweze ata kumtuma vocha dukaniMbwa wapolisi mzee ameenda mafunzo vizuri anaitwa cooki
Pole boss mkubwaBoss tatatibu ushaaza msifia kipenzi changu tena mimi ni muhehe nikipata hasira najinyonga mzee nihurumie kidogo
Duh usingizi mchana haupo kama unafanya kazi lakini kama jobless kama mimi hapa utalals mma ukisha kunywa chai na kipoloNIkiwa nimeboreka huwa nacheza game tu kwa phone ila dah nawaza kesho itakuwaje juu ya usingizi wa mchana
Ulitaka wale mchemsho?chukua voda Babu,au tumia vpn ,uwakomoe hao halotelHalotel noma wanajua kula bando hivi mtandao gani hauli bando?
02:06
Kaka ake Big boss shemeji yako, nitakutambulisha mwenyewe..Pole boss mkubwa
Huyo ni dada yangu kutoka kanda maalumu
We usiwe na shaka
Punguza wivu tuuπ
Sawa tajiri yangu nimekuelewa si una jua mapenzi na pesa pesa nzito sana mimi sina pesaPole boss mkubwa
Huyo ni dada yangu kutoka kanda maalumu
We usiwe na shaka
Punguza wivu tuuπ
Kwajiyo unanikataa leo siyoKaka ake Big boss shemeji yako, nitakutambulisha mwenyewe..
Achana na huyu kijana wa Wavuvi camp...
Tag unayemtag siku zote, tusipakane shombo πππππππππKwajiyo unanikataa leo siyo
Hahaha hatari sanaDuh usingizi mchana haupo kama unafanya kazi lakini kama jobless kama mimi hapa utalals mma ukisha kunywa chai na kipolo
Pole mimi natumia voda hapa nimejiunga cha jero lakin ngoma inaisha kesho mchana hiii nimezima app zote nimebakiza safar tuNimenunua MB 850 asubuhi hapo nilikua na back Jana MB 300 zilikua zinaisha saa 6 mchana hizo 850 ni wiki nakuambia ilipofika saa 6 MB zikafutika nafika saa 12 jioni zile 850 kuangalia nakuta zimebakia 300 na hapa navyotumia nikifika asubuhi ntakua 0 MB
Naomba kujua mtandao gan una budget nzuri ya bando
02:10
Sana af mgeni tulisahau kukuuliza unakunywa kinywaji gani?Hahaha hatari sana
Yule na mtag ili watu wasijue nimejificha kwak si unajua tena watasema unanilea japo ni kweli ππTag unayemtag siku zote, tusipakane shombo πππππππππ
Hawa jamaa wanakula bando sio kawaida yaan km wanajihamishia Sina hata matumizi makubwa, yaan Jana nilikua na MB 200 niliingia YouTube nikaangalia makala Ina dakika 9 bila shida na MB zilibakia nikaongeza, Leo nmenunua MB 850 jamaa wamepita na MB 550 zimebaki 300 hii haki kweli hii? Sijaingia popote zaidi ya JF hivi kweli JF unaweza kula MB 550 kwa masaa yasiyozidi 7?Ulitaka wale mchemsho?chukua voda Babu,au tumia vpn ,uwakomoe hao halotel