JamiiForums Usiku wa manane

Duh ,Sasa Apo ungeangalia pilau si ungekuta zimekata
 
Umasikini kitu kibaya sana ona wewe unalalamika bando limeliwa la mb tena sio gb lakini kuna watu humu ana gb45 za miezi miwili tafuta pesa ndugu yangu
 
Acha uzuzu aisee sijalalamika nilikua nafanya research ya kuwabaini watu wenye visokorokwinyo km wewe na nimekukamata

Una roho ya kichawi mkuu

02:17
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ embu vuta picha mimi masikini naona kawaida sana kuitwa mchawi mkuu nasemaje nasemaje lala au nenda utafute pesa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ embu vuta picha mimi masikini naona kawaida sana kuitwa mchawi mkuu nasemaje nasemaje lala au nenda utafute pesa
Sina mda wa kulala 24/7 nipo ON sizimi hata sekunde mpaka wameanza kunipigia ule wimbo "Siku hizi wachawi sio wazee" ameimba wozhu sijui ndio yeye hakuna kulaza damu pesa zipo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…