Nmeota km dk 15 hivi tupo kwenye bonge la bus sasa wakati linatoka kituoni linaingia barabarani si likapoteza uelekeo linaingia lafu road kuangalia kumbe break zimekufa mara tupo kwenye mtelemko unaambiwa gari ikapaa nilivyoona hivyo nikaona isiwe tabu kulikua mti pembeni nikajitosa kwenye mti afu sikutaka kuendelea nikashtukaNimeota wachawi wanapita juu uku wanasema wewe kijana tutakumakiza tu ata ujifanye mjanja uku wananikimbia af natak kuamka siwez mgongoni nshish nimekaliwa dah
we endelea kulalaNyumban hapa sinza majaburin
Unataka uniambie hii saa kumi na mbili?😀Ninyi mnao tegea lindo mnakuja kuonekena saa kumi nambili tutawatimua mapema sana hatuwezi kuwa na watu wavivi hasa Mzee wa kupambania Analyse na wengine wengii Uchira 1 sijakuona hapa
Si umetaka ligi na wakulungwa tuone sasa 🤣🤣🤣Nimepigwa na kitu kizito Mzee wa kupambania kaniibia dem wangu uku namuona ase why
Hapo kunakuwaga na totoz pisi. Vipi haujaopoa?03:45
board room
Dr leo umetembelea uzi wetu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkomwe wako ndio unakusakama maana upo mbele kabisa sio mie
Wewe doktari wewe kwa hio mkomwe wangu mimi ndio tatizo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkomwe wako ndio unakusakama maana upo mbele kabisa sio mie