JamiiForums Usiku wa manane

03:16

Nasikia hazana ya kwanza kwa mbaaali wale wa daku sasa huu ndio ule muda wa kuufinya
 
Kama vip, namwambia jamaa akuletee kahawa babu ustue nyongo kidogo, mm bado nazungukia lindo
 
La Raja Si watu ,hata mechi ya kukamilisha ratiba wanacheza Kihispaniola...wameniharibia usiku wa manane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…