JamiiForums Usiku wa manane

Mimi aliyeniroga yu hai, namvutia kasi tu na panga nishalinoa vizuri,nikimfikia tu atanirogoa kabla taha sijamkaribia
Hahaha kwa hali hii ntawaambie mirembe wakurudishe chuoni, ile shahada waliiwahisha kuitoa[emoji40] [emoji125]
 
Kumbe na wewe ni hunter[emoji15]
Ndo mana mshiki wangu ameamua kumficha yule dirty head hunter of hunterz[emoji85] [emoji125]
jje's utamuweza kwa visa,mimi nilishamwambia awe huru na Kichwa Kichafu wake...

Waliokuwa wananitendesha hii dhambi ya kuhanti na Neybright na baby wake Joseverest kwa mibebishano yao...[emoji4] [emoji4]
 
Kwanza leo ni zamu ya nani kulinda? Maana isijekuwa ni zamu yako halafu mimi najipendekeza hapa. Au ni zamu ya jje's ndo maana anatuchungulia kwa mbali?
[emoji15] [emoji15]
Kumbe kuna zamu siku izi, mimi zamu yangu wala sijaiona[emoji40]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…