T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Hahahaha....Hapo nimekuelewa umeona saa saba mchana haitadhuru..
Wasalimie komredi usisahau kurudi ufunge getiNapita tu....
Geti la nyuma tayari nimefungaWasalimie komredi usisahau kurudi ufunge geti
Mimi macho kodo ad nawaza niende wap3:34 nani machooo
Hahaa una stress gan hadi huna usingiziMimi macho kodo ad nawaza niende wap
Madam yan si unajua leo wikiend tena ndo nimereturn ghetoHahaa una stress gan hadi huna usingizi
Aisee kutoka club sio?Madam yan si unajua leo wikiend tena ndo nimereturn gheto
Ndio madamAisee kutoka club sio?
Aiseee mbona umewahi kurudi sasa?Ndio madam
Acha nipumzike tu maana usalama wa mfuko wangu ulibaki hatianiAiseee mbona umewahi kurudi sasa?
Hahahaaa kumbeeAcha nipumzike tu maana usalama wa mfuko wangu ulibaki hatiani
Nimecheza kama Ronaldo yani, nikaona isiwe shida haina haja yavkukaba hadi penatiHahahaaa kumbee
Umefanya la maana..asbh ungekosa ata hela ya chaiNimecheza kama Ronaldo yani, nikaona isiwe shida haina haja yavkukaba hadi penati
Ukizingatia sina private car ni tax, ningeswaga mbuga adi kisigino kiote gambaUmefanya la maana..asbh ungekosa ata hela ya chai
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ungekomaaUkizingatia sina private car ni tax, ningeswaga mbuga adi kisigino kiote gamba
Mbona had saivi hata husinzii?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ungekomaa
Usingiz umekataMbona had saivi hata husinzii?
Mimi hapa3:34 nani machooo