Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Leo nipo na vibe hapa.. an kulala ni ngumu mnoHaya kalaleee๐
Ukakamavu wa roho began umepotelea pwetee๐๐๐Dah angalau ye anakaza, mi ndo navunga Kama SI mjui๐๐. I mean no malice to nobody
Leo nipo na vibe hapa.. an kulala ni ngumu mno
Nimeshinda kama nani...? ๐ค๐ค๐ค๐คI see umeshida tuzo za TMA๐๐
Tuzo za usiku wa manane labda๐๐๐Nimeshinda kama nani...? ๐ค๐ค๐ค๐ค
Ngoja nisubiri na mi nipate shavu la kwenda kutoa tuzo
Alafu TMA imeonesha jinsi gani inakubali mchango wetu team Usiku wa manane that why hizi tuzo mpka sasa bado zinaendelea..Tuzo za usiku wa manane labda๐๐๐
Haaah๐๐๐๐Alafu TMA imeonesha jinsi gani inakubali mchango wetu team Usiku wa manane that why hizi tuzo mpka sasa bado zinaendelea..
Niitie Intelligent businessmanHaaah๐๐๐๐
Na umwambie kuwa kauli zake za kutishia amani mi sitaki...๐๐๐ Intel ukuje huku kipenz
Izo ndo sera zetu ๐๐๐ roho beganNa umwambie kuwa kauli zake za kutishia amani mi sitaki...
Mara panga mkononi daah ๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค
Sera za ajabu hizo... Kwanini mseme roho begani...??Izo ndo sera zetu ๐๐๐ roho began
Ushawai kutana na vibaka??? Ukikwapuliwa,, roho yako... inakua wp๐๐๐Sera za ajabu hizo... Kwanini mseme roho begani...??
Muulize muasisi Intel na kaka zake Mzee wa kupambania na National Anthem ๐๐๐Sera za ajabu hizo... Kwanini mseme roho begani...??
Ahahahahahahah kama ndo mnamanisha hivo kweli nyie mna hatariiiUshawai kutana na vibaka??? Ukikwapuliwa,, roho yako... inakua wp๐๐๐
Daah National Anthem yupo hivi daah.. mda mnooo
Karibuuhodi hapa