JamiiForums Usiku wa manane

02:35

Nauliza swali panya hua anakula damu ya binadamu ?
 
02:37

Hivi mjusi anatoaga mlio wa sauti km chura au ndege ?
 
02:38

Hivi nyoka km hujamchokoza anaweza kukung'ata ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…