mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Shida una I'd Kama msajili line, I mean no malice to nobody
usimcheke mshamba mkuu ๐Shida una I'd Kama msajili line, I mean no malice to nobody
Yalaaa๐๐๐, but bebi ๐PM ilijifunga yenyewe
Unapenda kugegedana khaa๐๐ Mzee wa kupambaniaHuo wa mishangazi sichezi nao mbali ๐คฃ
Mshamba hawezi kuelewausimcheke mshamba mkuu ๐
Inauma, anafanya makusudi kukubaniaa.Inabidi nikapitie kwenye register ya ukoo, pengine naweza kuta jina lako kweli ๐ ๐ ๐ .
Sasa Intelligent businessman Unaona ndugu yangu kanifungia pm, sasa habari za kifamilia nitampa vipi? ๐ ๐
za saizi....23:43
Niite dada.Yalaaa๐๐๐, but bebi ๐
Sometimes natamani kuwa double, ila misosi ndo ina nikaba Roho trudie23:43
au sio mfuasi wa elon muskMshamba hawezi kuelewa
Bebi, you are for Mee๐๐ญ๐ข LovelovieNiite dada.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ
The dude is a true genius, hata Mimi ni Jamaa flani noma kiroho safi. Though wamejaribu kunisimamisha๐ญ๐ขau sio mfuasi wa elon musk
jikaze kijana, hata elon alipitia struggles..... pambana tukukute kwenye forbes billionaires' list ๐The dude is a true genius, hata Mimi ni Jamaa flani noma kiroho safi. Though wamejaribu kunisimamisha๐ญ๐ข
hujalala unawaingiza kingi wale malofa 5 uwapige mizinga ๐๐๐๐ Acha kwanza nicheke
hujalala unawaingiza kingi wale malofa 5 uwapige mizinga ๐
We ndo wangu dereva๐๐๐ Acha kwanza nicheke
nakumbuka nilishapigwaga nikaja kusanuka baadae sana, aliweka status amekaa kihuzuni ameandika 'feeling low' nikareply..... akatia huruma wee, hela ikanitoka. Toka siku ile hii michezo nacheza kwa makini sana ๐๐คฃ๐คฃhua sina mambo ya kuchat nao sana.