Kumbe alonambia kuwa kawaona mkiianza safari kwa miguu kanidanganya eeeh! Ngoja kesho nikakodi kikundi cha wasutaji tukamsute [emoji4] [emoji4] [emoji4]Duuuh tunaanzaje wakati tuliijua safari? Huwa tuna fungi lake since January haijalish vyuma vimekaza au vipi
Tulikumiss mno.. ..ulifichwa na nani best?[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
Kumbe alonambia kuwa kawaona kiianza safari kwa miguu kanidanganya eeeh! Ngoja kesho nikakodi kikundi cha wasutaji tukamsute [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Cuzooo adimu ww[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
Nikimsamehe atazoea.....keshokutwa anaweza azushe kuwa kawaona Maserati na Manga ML wakiwa shopping Dubai bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]Msamehe tu labda alikuwa anatafuta kiki
Nawe pia lala unonoJamani naomba niwakimbie [emoji125] [emoji125] [emoji125], kesho tena Mungu akipenda.
Salamu zangu ziwafikie kina Thad, jje's, Manga, kichwa kichafu, spide na wengine wote. Usiku mwema nyote.
Many mbona hujaja na shemeji yetu S. I atusalimie? [emoji4] [emoji4] [emoji4]Cuzooo adimu ww
HahahhahahaNikimsamehe atazoea.....keshokutwa anaweza azushe kuwa kawaona Maserati na Manga ML wakiwa shopping Dubai bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Karibu tujumuike wote...ina maana huko uliko ni saa ngapi sasa?Mm ndiyo nimeamka
Nimewamiss jomoniiiiiiiiiii.Cuzooo adimu ww
Saa nane kasoro usiku [emoji13] [emoji12]Karibu tujumuike wote...ina maana huko uliko ni saa ngapi sasa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ati na baba chanja.Nikimsamehe atazoea.....keshokutwa anaweza azushe kuwa kawaona Maserati na Manga ML wakiwa shopping Dubai bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Jomoniii baba chanja...Ndo ujue amekupiga chenga ya mwili [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kuna aliniletea maneno ya uongo sasa natakanikamsute[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ati na baba chanja.
Nani kakukwaza dear nije kununua kesi huko
Heri yako bado kidogo uanze kuota lile jua lenye vitamini D [emoji12] [emoji12]Saa nane kasoro usiku [emoji13] [emoji12]
Akija uniite nije kusikia utetezi wake [emoji12] [emoji12] [emoji12]Jomoniii baba chanja...