JamiiForums Usiku wa manane

JANA BANA NILIKUA NIMELALA NIKIWA NIMEZIMA TAA, MLANGONI NIKAWA NIMETUNDIKA LABOLATORY COAT KWA UFUPI LIPO KM KANZU NA LINA VIFUNGO VIWILI KWENYE KOLA VINAWAKA WAKA, , SASA USIKU UPEPO UKAWA UNALIPULIZA LINAYUMBA KUSHOTO KULIA, MBELE NYUMA, MZEE KILA NIKIJARBU KUFUMBA MACHO NIKIFUMBUA LINACHEZA MARA UPEPO UKAZIDI LIKAANGUKA, YAAN PALE NDO NILITAMAN MLANGO UNGEKUA KITANDAN KWA KWELI. Nilirukia switch kutoka kitandan mpk ukutan bila kuweka mguu chin
 
Pole sana
 
Hahaaaaaa mkuu umenikumbusha tukio moja 2008 niliwahi panda ukuta hadi darini kwa kutumia matako..
 
Leo jf wameamua kutaibisha kila mtu aina ya sim yake inaonekana..
Hahaa kumbe kunawatu bwana nilizani tupowawilituu kunamtu nayeye kasema yupo hahahaa.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Eeeh kama mlitaka kurushiana voko nimekuja kuharibu...jokes
Mm sio mzima toka juzi tumbo linauma..
Hahahaaaa mkuu jiangalie bana ushaharibu tayari hahaa, lakini poatu kumbe usingizi umetugomea wengi.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…