JamiiForums Usiku wa manane

Oyaaa wazee wa liamba apa nnagoogle dalili za H.I.V jamani jitaidin kubaki njia kuu , maana kila dalili inakuja inakataa kifupi kua chanya hata kwa mawazo tu huleta dalili zote unajikuta unazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…