I see...Yap linasonga
Lakini litakuwa kwenye level tofauti na kawaida
Huko kwenu ni saa ngapiHeri yako bado kidogo uanze kuota lile jua lenye vitamini D [emoji12] [emoji12]
Bby am coming right awayThanks sweetheart.
Goodnyt to all
Pole haisaidii....dawa ni kuacha kubebishana mbele yangu [emoji12] [emoji12] [emoji12]Poles dear ila kakuloga pazuri
Nzur mkuuHabari za mida hii wadau
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kaka yako yuko busy anatongoza wanga wa kike waliopaka make up [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mpe hii carbaPopoz wote nawasalimia pia usiku mwema
NotedPole haisaidii....dawa ni kuacha kubebishana mbele yangu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Huku ndo kwanza saa 1:26(moja na dk ishirini na sita) za usikuHuko kwenu ni saa ngapi
ndio mkuu , mimi nikipita naweka muda tu.Your signature.....Heko mkuu
Maneno mengine huja automatic ila tutaangalia kama tutawezaPole haisaidii....dawa ni kuacha kubebishana mbele yangu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hatimae hunter karudi mawindoni, karibu komrediMkuu heshima yako boss
Kukwea vileleni nadhani sina haja ya kukuhadithia kabisaI see...
Kumbe bora upungukiwe akili kuliko nguvu za kijinsia [emoji4] [emoji4]
Nitashukuru sana kama hiyo automatic itaishia vyumbani mwenuManeno mengine huja automatic ila tutaangalia kama tutaweza
Akili yangu nyembamba haijajua methali...nihadithie mkuuKukwea vileleni nadhani sina haj ya kukuhadithia kabisa
Acha nikalale nisije achika nikionaNitashukuru sana kama hiyo automatic itaishia vyumbani mwenu
Salama mkuu, umeguna mpaka huku nimesikiaMmmhhh
Kumbe mwajuana kwa viremba kama waarabu wa pemba?Hahaha vitu vingine sio vya kuandika hapa, mengi nitamwandikia kwenye barua[emoji40]