Likewise my dear!Acha nikalale nisije achika nikiona
Gudnyto all
Huo mgunu lazima popo waamkeSalama mkuu, umeguna mpaka huku nimesikia
Hahaha niambie hunter of hunterz, umepotea kama mlango wa bodaboda ujueHunter nakuona nakuona.
Ila napita kuwasalimu
Usiku mwema
Kila la kheriAcha nikalale nisije achika nikiona
Gudnyto all
Sawa bwana naona unanipiga chenga la mwiliHapa panahitajika wahenga
Nadhani humu wapo watatusaidia
Ukipigia jibu mstari ndio inapendeza zaidi...Kumbe Kuna watu hawana usingizi Kama mm team popo
Bila shaka amekaa hapo pembeni yako.Salama mkuu, umeguna mpaka huku nimesikia
Ndo nimemwomba dirty head nasubiri mrejeshoKumbe mwajuana kwa viremba kama waarabu wa pemba?
Na mimi naomba anuani yake nimwandikie barua [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ukiona mtego nazima ujinasue mkuuSawa bwana naona unanipiga chenga la mwili
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125]Amelala usimsumbue Kaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatakupa ng'oo....bora hata ungeandika hiyo barua umpe mshiki wako aipeleke kwa mkono wakeNdo nimemwomba dirty head nasubiri mrejesho
Mpira umeisha kwa sare inayonikosesha raha, majogoo leo wamenikera sana[emoji36]Bila shaka amekaa hapo pembeni yako.
Hivi mpira umeishaje huko?
Umetegwa na nani tena?Ukiona mtego nazima ujinasue mkuu
Teh teh teh teh teh
[emoji134] [emoji134] mlikuwa mnacheza na nani?Mpira umeisha kwa sare inayonikosesha raha, majogoo leo wamenikera sana[emoji36]
Hahaha alivyoleweshwa mahabati lazima wataifungua waibadilishe, bora nitumie ujasusi kupata adress [emoji6][emoji23] [emoji23] [emoji23] hatakupa ng'oo....bora hata ungeandika hiyo barua umpe mshiki wako aipeleke kwa mkono wake
Hiyo ilikuwa mbinu ya kukwepa hiyo mada mkuuUmetegwa na nani tena?
Karibu tena kiongozi...Usiku mwema popoz
Huu uzalendo umenishinda, ngoja nikaote nipo Ulaya tu.
Duh! Nashukuru kwa kunipiga chengaHiyo ilikuwa mbinu ya kukwepa hiyo mada mkuu