mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
wande coal ft wizkid-ebelebe.... afrobeat kali kwa sasa...For my hand by burna boy π₯π₯
Ngoja nikaisilizee, sema burna,davido na Wizkid wanaibeba nigeeiawande coal ft wizkid-ebelebe.... afrobeat kali kwa sasa...
Huyo dogo mchovu...A.K.A bwabw ahahahahahahhahKmmk, Poor Brain eti dogo ndo ana amkaaπ€ππ€£π€£
mimi kuanzia saa 5-9 ndio mida, sitabiriki
Ahahh si wengne hatulali π€π€πππmimi kuanzia saa 5-9 ndio mida, sitabiriki
unakesha unafanya nini sasa...Ahahh si wengne hatulali π€π€πππ
Nacheki muvi pia nacheza gemu la tample rununakesha unafanya nini sasa...
acha utani basi... si bora ulaleπnacheza gemu la tample run
Nikilala mimi kuna kazi hazitokuwa sawa anacha utani basi... si bora ulaleπ
unapiga shift za usiku au....Nikilala mimi kuna kazi hazitokuwa sawa an
Ndio hivo hivo...unapiga shift za usiku au....
hela inatafutwa aisee...Ndio hivo hivo...
Pia kuna dawa natumia za kuto lala aiseee π€πππ€π€π€
ππππππ Ukikua utaelewahela inatafutwa aisee...
usikute hayo yote unafanya kwa ajili ya mwanamke..... ntakushangaa sanaππππππ Ukikua utaelewa
Nitakuona ngese wa kimataifaπ€ππ€£ Poor Brainusikute hayo yote unafanya kwa ajili ya mwanamke..... ntakushangaa sana
Acha Maswala ya kuuliza wanaume wanalala saa ngapi??, Unataka tukufanye Niniπ€£ππ Poor Brain
yah mwanangu wanasema 'love doesn't cost a dime'Nitakuona ngese wa kimataifaπ€ππ€£ Poor Brain
Mwanao Nani, π€π€, akati ukiona k una tetemekaπ€£ππyah mwanangu wanasema 'love doesn't cost a dime'
natetemeka kwa furahaπukiona k una tetemeka