JamiiForums Usiku wa manane

Ndio ubaya wa usingizi ukishaamka kuupata tena mtihani, mimi nilikuwa nasinzia kabisa sitting room kitendo cha kuhamia chumbani usingizi umekata kabisa.
Mimi ndo maana uwa nazima Simu usiku huyu kaniotoea kwenye simu nyingine sikuizima nilikuwa nimeshalala toka saa mbili alafu kapiga anauliza Niko wapi [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…