fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,498
- 27,813
πππMbona kitambo sana nko uku madagascar mzee uku nakimbiza sku hzi kwenye kampuni moja kutoka yuropu mzee kwa mwezi naingiza mil 8.5 kwa hela ya kibongo ππah kmmk fundi umefikaje madagascarπ
πππ sasa ww uko wapi mkuu maan huku madagascar ndo pepo ya duniani mkuuNimeona pia Madagascar ni wodi ya wehu dunianiππ€£π€£
nimekaa pale.... wewe ni fundi nauli umepataje kwanzaππππMbona kitambo sana nko uku madagascar mzee uku nakimbiza sku hzi kwenye kampuni moja kutoka yuropu mzee kwa mwezi naingiza mil 8.5 kwa hela ya kibongo ππ
πππ sisi watu wa mipango afu tuko kwenye sistimu wewee na apo bahari yenu hyo ikiuzwa ujue fundi bishoo nna mgao wangu kama 10B hivi sio powa weweenimekaa pale.... wewe ni fundi nauli umepataje kwanzaπ
Niko mbinguni πππππ sasa ww uko wapi mkuu maan huku madagascar ndo pepo ya duniani mkuu
Vijana wanna chekesha Sanππnimekaa pale.... wewe ni fundi nauli umepataje kwanzaπ
MBINGU GANI WAKATI MM NKO MBINGUNI NA SKUONI ππNiko mbinguni ππ
Kumbe sikoseiπ€,Nikisema Madagascar ni wodi ya vichaaππ fundi bishoo ππππ sisi watu wa mipango afu tuko kwenye sistimu wewee na apo bahari yenu hyo ikiuzwa ujue fundi bishoo nna mgao wangu kama 10B hivi sio powa wewee
We SI umesema uko Madagascar π€, sisi tulioko mbinguni tunajua hiyo ni wodi ya vichaaπππMBINGU GANI WAKATI MM NKO MBINGUNI NA SKUONI ππ
OIWe SI umesema uko Madagascar π€, sisi tulioko mbinguni tunajua hiyo ni wodi ya vichaaπππ
ππππ basi na mm ndo dokta wao nawatibu hawa vichaa mkuuWe SI umesema uko Madagascar π€, sisi tulioko mbinguni tunajua hiyo ni wodi ya vichaaπππ
Midi tudoπππOI
Bado jua halijatua. Au longitudo inasoma shortitudo?π€£
Afu sisi ndio wenye hospital au sioππππππ basi na mm ndo dokta wao nawatibu hawa vichaa mkuu
Nyinyi ni ndugu wa wagonjWa bhna hahahahAfu sisi ndio wenye hospital au sioππ
We SI tumekupa kazi ya kuwalinda matahira wenzioππNyinyi ni ndugu wa wagonjWa bhna hahahah
ππ mm siwalindi mm nawatibia ndgu zeNu mzeeWe SI tumekupa kazi ya kuwalinda matahira wenzioππ
Itakuwa ugonjwa wa ukichaa umekuathiri zaidi, hadi umeanza kujiita doktaπππππ mm siwalindi mm nawatibia ndgu zeNu mzee
πππ na ww soon tu utaletwa huku naona kbsa nati moja imeanza kulegea inabd tukuwah kukupa vidonge mpemaaaItakuwa ugonjwa wa ukichaa umekuathiri zaidi, hadi umeanza kujiita doktaπππ
Aisee, situation yako ni ngumuππ. Kama wamiliki tunashauri uuliwe tuπππππ na ww soon tu utaletwa huku naona kbsa nati moja imeanza kulegea inabd tukuwah kukupa vidonge mpemaaa
πππNikiuliwa ndgu zenu atawatibu nani mwsho wa siku wagonjwa watakuja mpka uko mlipokuepoAisee, situation yako ni ngumuππ. Kama wamiliki tunashauri uuliwe tuππ