Sema nenoJana na leoππππ
Lindo lidumu... ππππSema neno
Code imesomeka afandeLindo lidumu... ππππ
Hello 404 Pages
Hello Bantu LadyHello 404 Pages
Sukari ya mtu..AUmemisiwa mnoo sisy π
Mimi zaidi ππππππ tupo pamoja mrembo wangu π DahanUmemisiwa mnoo sisy π
Hi my friend Glenn πHello Bantu Lady
Chizi karogwa tena πππππ bado wawewesekaga? Huwa simuachi mtu salama π€£π€£π€£π€£Those days...thoπ€£
Kuna mdada nahisi atanitoa roho we chiziπ€£π€£π€£Chizi karogwa tena πππππ bado wawewesekaga? Huwa simuachi mtu salama π€£π€£π€£π€£
Weee umefall wapi tena rafiki? Nionyeshe wifi yangu basi πKuna mdada nahisi atanitoa roho we chiziπ€£π€£π€£
Wow wow siyo mdogo wangu Dahan kweli? Mbona sifa zote zinamdondoke. Nimefurahi rafiki umepata tulizo la moyo wako πDaaah yaani huyu dada natamani ndio ningeanza naye dunia ingekuwa mbingu yangu asee.
Mtoto ni mzuri, lips, rangi, sauti, ...komesha ni ana roho nzuri si ya dunia hiiπ€£π€£π€£
Hongera sana tule ubwabwa sasa, mbona nitakuja huko.Unaanza kuwanga sasaπ€£π€£π€£π€£π€£
Nikwambie kitu?
Sasa mke ninaye...ameusaga moyo tikitiki...mtoto yuko romantic hatariπππππ