Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha bila shaka hao watakua Ottu Jazz BandNihurumie asu wangu....
Kwa yote niliyokufanyia.....
Haikuwa dahamira yangu.....
Wala sikutegemea......
Huo wimbo uliimbwa na nani vile, diamond au alikiba?
[emoji57] [emoji57]Jitaje tu,hakuna atakae kusikia wote wameshalala!
Hayo ndo maneno.....[emoji39] [emoji39][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Dadek ila sijawahi kukutana na Mwl mtata namna hii, basi niko tayari kuhamishia undakindaki wangu kwenye "elimu gharama"
Ujue bila kufundishwa na wewe sintaelewa kabisa[emoji39]
Umekosea huo wimbo uliimbwa na janjaro siku ya harusi yakeHahaha bila shaka hao watakua Ottu Jazz Band
Sawa tu, hata ukifanya mbili haidhuru, niko tayari kwa lolote, kasoro adhabu za kuruka kichurachuraHayo ndo maneno.....[emoji39] [emoji39]
Kila kipindi kimoja cha dk 40 utanilipa Tzs mil.1 tu sina hata gharama
Etiee, basi hiyo nyimbo sio nzuri kwa afya ya moyo[emoji40] [emoji125]Umekosea huo wimbo uliimbwa na janjaro siku ya harusi yake
Tatu itapendeza....Sawa tu, hata ukifanya mbili haidhuru, niko tayari kwa lolote, kasoro adhabu za kuruka kichurachura
Tulale bwana,huyo mwenye usiku wake mwenyeww kalala sisi tunakazana hapa utafikiri tunalipwa bwana [emoji12] [emoji12] [emoji12]Etiee, basi hiyo nyimbo sio nzuri kwa afya ya moyo[emoji40] [emoji125]
Hahahaha ila mimi nikipewa hii [emoji8] [emoji8] [emoji8] ugenious wangu unacharuka[emoji39]Tatu itapendeza....
Sitakaa nikupe adhabu hata ya kukufinyia jicho [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Bila shaka wewe ni mngoni,usiniulze kwa nini..[emoji126] [emoji126] [emoji126]Hahahaha ila mimi nikipewa hii [emoji8] [emoji8] [emoji8] ugenious wangu unacharuka[emoji39]
Kwakweli, ulale unono bundi mrembo, mimi nitakua pembeni yako na rungu langu, kuhakikisha mbu hasogei. Leo zamu yako kuniota[emoji39]Tulale bwana,huyo mwenye usiku wake mwenyeww kalala sisi tunakazana hapa utafikiri tunalipwa bwana [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Cc No Escape
Asante,nawe pia!Kwakweli, ulale unono bundi mrembo, mimi nitakua pembeni yako na rungu langu, kuhakikisha mbu hasogei. Leo zamu yako kuniota[emoji39]
Hahaha hiyo spidi mbona nayo ya Kingoni kabisa,[emoji6].Bila shaka wewe ni mngoni,usiniulze kwa nini..[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Aaah bundi Thad, ujue kuna maneno mengine hayaruhusiwi kusikika zaidi ya sentimita 30[emoji40]Asante,nawe pia!
Unataka nikuoteje?
Naam, afadhali umekuja mfunga getiPopoozz[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nakukabidhi kijiti hakikisha unafunga geti vizuriPopoozz[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]Naam, afadhali umekuja mfunga geti