[emoji87][emoji87][emoji86][emoji86]Ahaaa! nisaidie aisee kama unamjua sitamwambia ameshalala saa hizi.
Na ndio kwanzaa kunakuchaNdio kwanza napata usingizi
Leo umejua kukesha kweli hongeraaaAhaaa! nisaidie aisee kama unamjua sitamwambia ameshalala saa hizi.
pole sanaKaribu umenigomea haswaaa
ha haaaa,upokuna usalama hapa jamani.
haya mulume waneAisee, ngoja na mimi nikufuate nikinyata huenda nikafaidi hata chabo [emoji85] [emoji125]
Asante mkuu habari za kuamka maana wewe hujakesha.pole sana
Una sh.ngapi nikwambie aliyeanzisha huo utaratibu wa kufunga saa tisa?Namtafuta alieanzisha utaratibu wa kufunga geti saa tisa(9)
Nyegera waituUlikanunu nyambala!
Last man standing....umeadimika mkuu!Mkuje bande hii