Pole mamy....
Pumzika mpendwa,maisha ni haya haya tu....hayana increament wala nini [emoji4] [emoji4]
Jana na leojJ[emoji639] 'S
Watu wanadhani ujamaa ni lazima uwe kwenye scale kubwa...mfano sisi tunaochelewa kupumzika huwa tunakutana hapa kwa hisani ya mwasisi wa thread hii na kutakiana mawili matatu kabla ya kupumzika...huu ni ujamaa!Na kwelu ni mwanajumuiya
Mie sasahivi itabidi nisiwe najitetea jje's, ni kweli nakiri kumpenda sana jirani yangu kichwa kichafu lakini watu hawapendi kutuona tunafurahi na jirani yangu kipenzi sijui shida ni nini, kwanza jirani tabia ya chabo ameacha siku nyingi toka afumwe na mmoja kati ya mababy nilionao.Pambana kidogo bhana
Nasikia jana KK alivyokuwa anakuvhabo ukamfungulia kabisa
Hiz tetesi ni kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana ndugu....Nilimfata
KK , duuh majirani wakaniambia yuko ndani kwa Ney, cjui kama ni kweli
Miguu iliisha nguvu nikasaidiwa na msamaria kunirudisha kwa kuniwek kwenye ambukance. Nilikuwa hoi cjajua mapenzi yana nguvu hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki huu ni uchochezi wa hali ya juu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana ndugu....
Jifunze kutetea vilivyo vyako sasa wewe badala ya kuingia ndani umkunje Ney ukaishia kubebwa na ambulance, uje nikufundishe karate [emoji4] [emoji4]
Kwa jibu hili, jje's atakufa kwa presha....Mie sasahivi itabidi nisiwe najitetea jje's, ni kweli nakiri kumpenda sana jirani yangu kichwa kichafu lakini watu hawapendi kutuona tunafurahi na jirani yangu kipenzi sijui shida ni nini, kwanza jirani tabia ya chabo ameacha siku nyingi toka afumwe na mmoja kati ya mababy nilionao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata wewe uje nikupe limbwata la kumwekea jirani yako ili jje's akikuletea vurugu akusaidie kumpiga [emoji126] [emoji126] [emoji126][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki huu ni uchochezi wa hali ya juu.
Alikuja kumsalimia hunter mwenzie, kwani hujui kuwa baby wangu na kk ni mabest sana? Ungekuja tuu mpz ona wapata BP bure kabisa wakati sisi ni family friend [emoji6]Nilimfata
KK , duuh majirani wakaniambia yuko ndani kwa Ney, cjui kama ni kweli
Miguu iliisha nguvu nikasaidiwa na msamaria kunirudisha kwa kuniwek kwenye ambukance. Nilikuwa hoi cjajua mapenzi yana nguvu hivyo
Bora usirudi kusoma jibu lake,maana presha yako haitashuka tu bali itaisha kabisa...[emoji4] [emoji4]Asante bby, nitakuja kusoma majibu ya Ney kesho
Shemeji shemeji huku mnazima taa...Alikuja kumsalimia hunter mwenzie, kwani hujui kuwa baby wangu na kk ni mabest sana? Ungekuja tuu mpz ona wapata BP bure kabisa wakati sisi ni family friend [emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] hata wewe uje nikupe limbwata la kumwekea jirani yako ili jje's akikuletea vurugu akusaidie kumpiga [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Msema kweli mpenzi wa Mungu [emoji4]Kwa jibu hili, jje's atakufa kwa presha....
Nleterewa Nganengo ukuje umsaidie mshiki wako anaibiwa vyake...
Basi mamy...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie mafua yananilaza sembuse ngumi sinitazikwa bado napumua nioneeni huruma jamani mbona mwanitafutia kipigo kwa nguvu namna hiyo?
Ila kweli wewe u mwema, ngoja niongee na kaka yangu ili uwe wifi yangu [emoji12] [emoji12]Msema kweli mpenzi wa Mungu [emoji4]
Hawezi kuacha kuja kwangu, kwasababu anamfata baby wangu. Ili awe na amani wawe wanakuja wote hunter akae na hunter mwenzie mimi nikae na jje's lakini tofauti na hapo kwakweli sidhani kama nirahis kumzuia kk kuja kwangu maana haji kwaajili yangu anamfata mwanaume mwenzie.Basi mamy...
Nimekuonea huruma,sitamfunza ngumi,nitamfundisha namna ya kumshikilia kk asiwe ana kutembelea wewe jirani yake
Anahela za kutosha lakini?Ila kweli wewe u mwema, ngoja niongee na kaka yangu ili uwe wifi yangu [emoji12] [emoji12]
Basi zungumza na jje's ili umtoe wasiwasi maana wanasema eti wasiwasi wa mapenzi unaua..Hawezi kuacha kuja kwangu, kwasababu anamfata baby wangu. Ili awe na amani wawe wanakuja wote hunter akae na hunter mwenzie mimi nikae na jje's lakini tofauti na hapo kwakweli sidhani kama nirahis kumzuia kk kuja kwangu maana haji kwaajili yangu anamfata mwanaume mwenzie.
AhahahaaaaaaBasi zungumza na jje's ili umtoe wasiwasi maana wanasema eti wasiwasi wa mapenzi unaua..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata usihofu kaka yangu ana hela kama Dr.Shika,hata ukitaka 900 atakupa [emoji12] [emoji12] [emoji12]Anahela za kutosha lakini?
Au wataka nije kuzeeka kabla ya umri kwa kuskiliza shida za kakaako mie aka [emoji57][emoji57][emoji57]
Shida zake zake tuu, shida zangu zake ila raha zetu sote [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]