JamiiForums Usiku wa manane

bora niwatafute konnect, wao ni 400k na kitu

sema wanaanza 60k/mo
Hao niliwajaribu ni wahuni mno... Niliwapigia nearest office na nilipo...

Inavyoonyesha wanadeal na maofisi makubwa makubwa/makampuni tu...

Wakijua ni mtu wa kawaida tu wanajivuta na simu hawapokei tena ....

Wanahisi labda utatumia miezi miwili tu then ushindwe kulipia kuendelea nao.
 
ubaya wa msanii hauhusiani na record label... nipsey hustle alitoboa mwenyewe

njoo na point yenye mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…