JamiiForums Usiku wa manane

Lol! Lakini, hata bingwa alianza kama mshiriki siku ya kwanza, ila baadaye ikaja kuwa historia.

Ova
Hahahaaaa haki nimechekaaaaa.

Unanidanganya ili unigaragaze sio? Basi ngoja nikomae.
Nitaleta ushindani lakini, sitashindwa kijinga.

Kwahiyo majumuisho yatakuwa baada ya muda gani b…?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…