JamiiForums Usiku wa manane

My mother ana juaga kuzi pika Zina kuwa Kama za ki Mexico hivo😂,
👉Niki pika Mimi would😀, uji 😂😀🤒
The moment umeniwekea nyanya kwenye tambi sili, ukiniwekea chumvi tupu sili.
Iwe ya Mexico ama Cameroon… kitu kikishanishinda at 1st uwa siwezi kirudia tena 😂😂😂

Sa skia, kaa na mama akupe ujuzi wake ndo next time usipike tambi boko boko
 
Hata ani shikie na bastola😀, sidhani ka nita jua😂.
👉Imagine dagaa nime jua juzi tu😂🤣, angalau ugali, wali chumvi haija wahi koza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…