Uwe unaquote comment yangu...huku unakoandika inakuwa mbali kidogo mie kujuaDaah kitambo dear
Umemmiss nani?I MISS YOU
1:00 AMMida kama hiyo uliyoandika hii post, leo Njoo!
OkLeo naona nitakavyotoboa asubuhi hii hapa
π³ Yaan OK ndiyo umemaliza kunifariji? Au mi ndo sijaelewa?
Mvua za kwetu kisanga! Usiku mida kama hii inanyesha ikifika mchana jua plus joto1:00 AM
haya nimekuja, usininyime leoπ
ππ³ Yaan OK ndiyo umemaliza kunifariji? Au mi ndo sijaelewa?
Hi issue Ina hela kinyama, π€£π€new shift
Nipo mwochori naanda watu wa kutoka asubuhi