Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Hii sio lodge ni nyumba kamili, Wana taka kuichukua ndo waigeuze iwe hivyo.Sawa, Kuna kiongozi mmoja alinambia ana Lodge mitaa ya huko ndiyo anataka kuiuza, sijui kama ndiyo hiyo ama ni nyingine
All in all hii biashara ni nzuri japo inahitaji kutega eneo zuri pamoja na kuzingatia sana Usafi
Nadhani nitajielekeza zaidi huko miaka ijayo
Okay .....kulinga na potentiality ya eneo husika kuuzwa Kwa 80M sio mbayaHii sio lodge ni nyumba kamili, Wana taka kuichukua ndo waigeuze iwe hivyo.
Kuna hotel na she'll zime zunguka karibu, next 2-3 yrs inaeza fika 200Okay .....kulinga na potentiality ya eneo husika kuuzwa Kwa 80M sio mbaya
Mwezi March nitakuwa na safari ya Mwanza, nitajitahidi nipite hapo kujionea uyasemayoKuna hotel na she'll zime zunguka karibu, next 2-3 yrs inaeza fika 200
Ok mkuu, karibu Sana.Mwezi March nitakuwa na safari ya Mwanza, nitajitahidi nipite hapo kujionea uyasemayo
Shukrani Mkuu, nitakaribiaOk mkuu, karibu Sana.
👉Niki wepo nita furahi kuonana nawe.
Mkuu Kama uli kuwepo, nime pita sehemu kilicho nisaidia ni kufunga mdomo wangu.(wamme nipiga kikumbo)Shukrani Mkuu, nitakaribia
Ila tafadhali usije kuniitisha watu wakaniua Kwa haya macho mekundu ya Uzee na hizi Mvi zangu nyeupe....😜
Maana huko Kanda ya Ziwa sisi Wazee tunapigwa sana Vita
Hiyo ni report time ya mlinzi🤒Mbona mnaandika masaa tu?
Okay..maana ndio kwa mara ya kwanza naingia humuHiyo ni report time ya mlinzi🤒