JamiiForums Usiku wa manane

Niko sensitive sana na caffein yaan nikinywa hata kama ni asubuh basi usiku wake lazima nikose usingizi naombeni njia ni kwanamna gani naweza kuondosha athari zake baada ya kunywa mfano mnywa pombe akinywa maji mengi na limao humpunguzia ulevi vipi kwa mnywa kahawa
 
Mkuu mi nadhani una jidanganya tu.
👉Usha jua we ni mjinga, then why utafute njia ya kuficha ujinga wako!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…