JamiiForums Usiku wa manane

Hahahahaha....ahsante prof jay, majani na ulamaa mmegusa ninapopataka
 
Nami kwenye mtizamo, na Jambo nataka kuweka.
Maana kila kukicha walinzi wanaongezeka
Nasema very nice!
Yes! Ulinzi kama dhehebu
Wingi wa walinzi inaonesha ni dini swafi
Yaani imekubalika’ waumini tuko wengi’
Lakini bado na shaka’ sijapata uhakika
Wote tumesadiki?
Au wengine ni feki’ mmetumwa kama mamluki
Manake wengine Mna lala kama nyoka!! Tresor Mandala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…