Kweli aisee kwa mwendo huu tunaweza isha kabla hayajaisha [emoji24] [emoji24] [emoji24]Tutaisha sisi kabla hayajaisha.
PoleVyuma vimekaza mkuu. Binafsi nakula mlo mmoja tu kwa siku, hivyo nalala mapema kabla njaa haijaniandama [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Asante best!Pole
[emoji101] [emoji101][emoji102]
Tupo macho.habarini wa humu nimepitia huku kuja kuangalia kama mupo macho naombeni ikifika saa kumi mnishtue
Hiyo nzuri. Thad niajeTupo macho.
Weka namba hapa muda ukifika tukupigie kukuamsha.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Poa best.Hiyo nzuri. Thad niaje
Fresh. Vip wewePoa best.
Za weekend?
Namshukuru Mungu inaelekea elekea ukingoniFresh. Vip wewe
Ni vizuri kwa kweli.Namshukuru Mungu inaelekea elekea ukingoni
sio kama tumechelewa tujipange mwakanBado siku 21 kuingia mwaka 2018.
Kamilisha Ndoto Zako
The time is now
Hili swala nikilifikiria linaniumiza kichwa ile mbayaBado siku 21 kuingia mwaka 2018.
Kamilisha Ndoto Zako
The time is now
Ndoto zingine hazikamilishiki any more,it's too lateBado siku 21 kuingia mwaka 2018.
Kamilisha Ndoto Zako
The time is now