KabisaNi vizuri kwa kweli.
Ni kweli kabisa. Swala la msingi ni kushukuru kwa yale uliyo kamilisha na kujipanga kwa mwaka ujaoNdoto zingine hazikamilishiki any more,it's too late
Hakika twamshukuru Mungu aliyetuwezesha kuwa hai hadi sasa,yalopita si ndwele wacha tugange yajayoNi kweli kabisa. Swala la msingi ni kushukuru kwa yale uliyo kamilisha na kujipanga kwa mwaka ujao
Waswahili wanasema mipango si matumizi....Hili swala nikilifikiria linaniumiza kichwa ile mbaya
Naona humu ndani leo kumepwaya kweli.Hakika twamshukuru Mungu aliyetuwezesha kuwa hai hadi sasa,yalopita si ndwele wacha tugange yajayo
Popo na bundi bado wanasherehekea uhuru wa babu SeyaNaona humu ndani leo kumepwaya kweli.
Kwa kweli. Hatuwezi kwenda mbele kwa kuangalia yaliyo pita bali tunajifunza kwa yale yaliyopita ili tusonge mbeleWaswahili wanasema mipango si matumizi....
Leo rais kafanya jambo la busara sana.Popo na bundi bado wanasherehekea uhuru wa babu Seya
Karibu kiongoziHodi hodii humu!!
Kabisa,amejiongezea kura mbili tatu za 2020 kwa tukio la leoLeo rais kafanya jambo la busara sana.
Karibu sana! Za weekend?Hodi hodii humu!!
Huu ni mtaji wa kisiasa a.k.a kiki. Ila kwa hili namuunga mkonoKabisa,amejiongezea kura mbili tatu za 2020 kwa tukio la leo
Yeah! Namuona anajiongezea mtaji kila kukicha,na mtaji wa siasa ni watu.Huu ni mtaji wa kisiasa a.k.a kiki. Ila kwa hili namuunga mkono
Ni kweli kabisa. Yaan ameanza kuchukua watu wenye ushawishi kwanzia wanasiasa wa upinzani na sasa wasaniiiYeah! Namuona anajiongezea mtaji kila kukicha,na mtaji wa siasa ni watu.
Wapinzani wake inabidi watafakari vyema jinsi ya kushindana naye
Na hisi kabla ya uchaguzi ujao hata wale mashekhe wataachiwaYeah! Namuona anajiongezea mtaji kila kukicha,na mtaji wa siasa ni watu.
Wapinzani wake inabidi watafakari vyema jinsi ya kushindana naye
Huyu jamaa atakuwa amepata mshauri mzuri wa mambo ya siasa,maana yeye si mwanasiasa mzuri kiasi hiki.Ni kweli kabisa. Yaan ameanza kuchukua watu wenye ushawishi kwanzia wanasiasa wa upinzani na sasa wasaniii
Hilo liko wazi kabisaNa hisi kabla ya uchaguzi ujao hata wale mashekhe wataachiwa
Naona kama anatembelea ahadi za lowassa hiviHuyu jamaa atakuwa amepata mshauri mzuri wa mambo ya siasa,maana yeye si mwanasiasa mzuri kiasi hiki.
Ni vyema wapinzani wake wakajipanga upya badala ya kutupa lawama kila kukicha.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ngoja tuone wapinzani watakuja na sera ganiHuyu jamaa atakuwa amepata mshauri mzuri wa mambo ya siasa,maana yeye si mwanasiasa mzuri kiasi hiki.
Ni vyema wapinzani wake wakajipanga upya badala ya kutupa lawama kila kukicha.