JamiiForums Usiku wa manane

Weekend ipo fresh kabisa jana ilikuwa sikukuu ya babu seya hata uhuru umesahaulika
Hahahaha...!! huku kitaani leo nyimbo zake znapigwa sana, na wengine nimewasikia wakisema mkulu 2020 watampa kura achukue nchi tena baada ya jambo la leo
 
Mimi yangu macho, masikio na akili kutafakari yani mimi na unazi wa vyama ni vitu viwili tofauti
Na ukiwa nje ndo unapata fursa ya kuona vyema yanayoendelea vyamani. Vinginevyo utakuwa wa kusifia kila lifanywalo na chama chako na kupinga kila linalofanywa na mpinzani wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…