JamiiForums Usiku wa manane

Na ukiwa nje ndo unapata fursa ya kuona vyema yanayoendelea vyamani. Vinginevyo utakuwa wa kusifia kila lifanywalo na chama chako na kupinga kila linalofanywa na mpinzani wako.
Ni kweli kabisa. Unazi sio mzuri na ndio sababu ya nchi inashindwa kusonga mbele kimaendeleo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi story zilitujenga sana sisi wahenga wa leo
Kipindi hicho nikisimuliwa hiyo na ile ya pazi na jogoo nilikuwa naogopa kweli yaan naona kama vitu vipo katika uhalisia
 
Kipindi hicho nikisimuliwa hiyo na ile ya pazi na jogoo nilikuwa naogopa kweli yaan naona kama vitu vipo katika uhalisia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo story huwezi wapa watoto wa kileo wakakusikiliza hata hata kwa dakika moja
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo story huwezi wapa watoto wa kileo wakakusikiliza hata hata kwa dakika moja
Watoto wa siku hizi wamechangamka sana ila naona kama wana miss vitu vingi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…