Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
sihitji demu nnae pisi kali soon tu itaanza kutema mate kama nyoka.Nusu albinoo nime kuletea nawe upate Dem π€π€£π.
View attachment 2922683
Huyu ndo saizi yako, na yeye ana tema mate π€π€£.sihitji demu nnae pisi kali soon tu itaanza kutema mate kama nyoka.
02:45Dusk till dawn 2:44 AM
Chizi kweli πHuyu ndo saizi yako, na yeye ana tema mate π€π€£.
View attachment 2922684
Sina nili bahatika kupitia pitia hard copy kidogoπ€.John kisomo Intelligent businessman una soft copy ya kitabu cha mwinyi?
Unapenda kusoma sana mavitabu JK.Sina nili bahatika kupitia pitia hard copy kidogoπ€.
Kisomo mwenyewe π
Bwana ehh Kama vipi, wapigie simuππ€Unapenda kusoma sana mavitabu JK.
Kuna soft copy yake ?
Weka nambaBwana ehh Kama vipi, wapigie simu
Nusu albinoo π€Weka namba
Ujue nipo siriaziNusu albinoo π€
Najua uko serious, Kuwa we ni nusu albinooUjue nipo siriazi
π dah sawaNajua uko serious, Kuwa we ni nusu albinoo