Shikamoo boss00:03
Hivi kwenye huu uzi huwa mnafanya kitu gani?
Views 4m. Leo ni mara ya kwanza kuufungua
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Hivi kwenye huu uzi huwa mnafanya kitu gani?
Views 4m. Leo ni mara ya kwanza kuufungua
Nimaswala ya ulinzi juu ya jf yetu...Hivi kwenye huu uzi huwa mnafanya kitu gani?
Views 4m. Leo ni mara ya kwanza kuufungua
Nipo live mkuu
Karibu sana mkuuHivi kwenye huu uzi huwa mnafanya kitu gani?
Views 4m. Leo ni mara ya kwanza kuufungua
AsanteKaribu sana mkuu
Hapana bossNimaswala ya ulinzi juu ya jf yetu...
Vp? Una tochi na rungu niwapange wakubwa Ili upangiw Lindo
🏃🏼♂️🏃🏼♂️🚶
Tunalinda jf isiibiweHivi kwenye huu uzi huwa mnafanya kitu gani?
Views 4m. Leo ni mara ya kwanza kuufungua
uoga wa kitu gani 🤣Ukikatisha maeneo yaliyotulia usiku mwingi unajiimbia tu kawimbo ili kujipunguzia uoga