Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Km umetokeza mkuu uoga hpa haupo tena nilijua napita peke ynguuoga wa kitu gani 🤣
Naunga mkono hoja12:16AM
Muda wa kukabidhi lindo Kwa Vijana 😜
wewe ulinzi unaokufaa ni wa kitchen tu 🤣Km umetokeza mkuu uoga hpa haupo tena nilijua napita peke yngu
Bado tupoShadow7 Intelligent businessman Tuwapeleke Somalia
Vitengo upishi na ulinzi wapi na wapi?🤣🤣Naunga mkono hoja
Upishi hapana nipo kitengo mkaa kazi ngumu mwanzo mwishoVitengo upishi na ulinzi wapi na wapi?🤣🤣
mkaa mkiisha fukia utawala🥲Upishi hapana nipo kitengo mkaa kazi ngumu mwanzo mwisho
Full utawalamkaa mkiisha fukia utawala🥲
Nimekumwaga Senior 🤣00:54
Lindo liendelee
Dah hii mbinu kitambo sana🤓, naomba wanaume Wana ingia, binti usi nivagae😂😂Ukikatisha maeneo yaliyotulia usiku mwingi unajiimbia tu kawimbo ili kujipunguzia uoga
Sitaki🤓😂, we si ulisema ume milikiwa🤣🤣Shadow7 Intelligent businessman Tuwapeleke Somalia
Tuwapeleke somalia mkafe vizuri, ulinzi hamuwezi kukoroma tu 🤣 Nani anatakaSitaki🤓😂, we si ulisema ume milikiwa🤣🤣