Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,231
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Kweli kabsa usichezee nafasi...me nipo ndani tu weekend yote next time plzz nichukue na mm
[emoji2] [emoji2] [emoji2] miss u mamy ThadNatuma salamu kwa
1. Neybright na baby wake Joseverest
2. jje's na kipenzi chake Kichwa Kichafu
3. Maserati na baba chanja wake Manga ML
4. No Escape na bundi mzoefu alibakari
5. Walimu wangu Nleterewa Nganengo na Mwifwa
UJUMBE: Heri kelele za adui kuliko ukimya wa rafiki [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Jje's na kk h[emoji40] mm hii couple mpya sasaNatuma salamu kwa
1. Neybright na baby wake Joseverest
2. jje's na kipenzi chake Kichwa Kichafu
3. Maserati na baba chanja wake Manga ML
4. No Escape na bundi mzoefu alibakari
5. Walimu wangu Nleterewa Nganengo na Mwifwa
UJUMBE: Heri kelele za adui kuliko ukimya wa rafiki [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Yeah kuchill home mda mwingine ni rahaa unafanya mambo yako mengiOoh..!! Hilo shaka ondoa wewe tu,ujipange
Inaonekana Unapenda kuchill home
Miss u more my dear[emoji2] [emoji2] [emoji2] miss u mamy Thad
Hahaaa hayo ndo matatizo ya kupotea hapa kilingeni. Watu washakula na mahari kabisa wewe washangaa?[emoji12] [emoji12]Jje's na kk h[emoji40] mm hii couple mpya sasa
Wafanikiwao sio wenye style zetu hizi za kukesha tunachit chat, bali ni wakeshao wakiwa busy kusaka notiWasopenda usingiz ni watu wenye kufanikiwa sana!
Miaka kadhaa nilikua kundi hili ila sas nashindwa kabisaa kudumu kwa muda mrefu nyakati za usiku bila ya kusinzia.
Natoa campan walau lisaa ama nusu saa hivi.
next time plzz nichukue na mm
Ooh..!! Hilo shaka ondoa wewe tu,ujipange
Tupo watoto wamelalaWadau mpo?
Huu ni muda wa wakubwa kutamba.Tupo watoto wamelala
Naona ulikuwa busy kumalizia weekend....Huu ni muda wa wakubwa kutamba.
ahaha true factWafanikiwao sio wenye style zetu hizi za kukesha tunachit chat, bali ni wakeshao wakiwa busy kusaka noti
Weekend Imeisha salama. Vip wewe ndugu?Naona ulikuwa busy kumalizia weekend....
Vp imeisha salama?
Kumepoa sanaWatoto wazur wa Jf mbona siwaoni mitaa hii au ndio wamelala?