Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Hakuna timu nilikuwa sizipendi kama Simba & Man U, eti sasa hivi napenda zishinde kwa ajili yake.
Kaka mzuri utaniuaaa!
Karibu Jamvini MkuuMaana jf usku wa manane muda wowote unaweza ukaachwa peke yko humu
0349Hrs12:16AM
Muda wa kukabidhi lindo Kwa Vijana [emoji12]
All the time God is good0405Hrs
God Is Good All The Time.
Namsikia uli acha ulinzi, uka amua uwe dalali😂🤣🤓It's been a while in here.....
Bora udalali haukeshi aisee🤣🤣Namsikia uli acha ulinzi, uka amua uwe dalali😂🤣🤓
Be free. Sharenimekuj kufungua lindo,, au kuna mwingne tayal?[emoji102], natak kushare kitu
Be free. Share
Niko poa mkuu wewe je?ooh uko poa? tuanz na salam kwanz
Niko poa mkuu wewe je?
Karibu sana lindoniniko poa piaah....