Najua utatusimulia leo kilichokuchekesha tukiingia lindoni 😃woiii[emoji2960]
Najua utatusimulia leo kilichokuchekesha tukiingia lindoni [emoji2]
Mimi utanikuta nimekuachia geti wazi uingie kwa madaha yote na tabasamu zito usoni. 😊[emoji3][emoji3] mkiwah kufika nitawasimulia ila mkichelewa ndo basi tena
Kataa ndoa mpo vizuri kumbe na vitabu mnavyoI mean no malice to nobody
View attachment 2925623
Kuna story nime sikia Leo🤓😂, aisee sito oa🤣Kataa ndoa mpo vizuri kumbe na vitabu mnavyo
Story ipi tena mkuuKuna story nime sikia Leo🤓😂, aisee sito oa🤣
Ndoa za siku hizi Zime legea Sana, binti kaolewa Tena🤣🤓.Story ipi tena mkuu
Inasikitisha sana... Katika miaka kumi ijayo mna mambo mawili either mshuhudie dunia mbaya sana kuwahi kuwapo au nzuri sana tangu kuumbwa.Ndoa za siku hizi Zime legea Sana, binti kaolewa Tena🤣🤓.
Akati ana mume🤣🤓
Kwenye advancement of human life and technology ni sawa.Inasikitisha sana... Katika miaka kumi ijayo mna mambo mawili either mshuhudie dunia mbaya sana kuwahi kuwapo au nzuri sana tangu kuumbwa.
Oa kama unataka familia bora ili uijenge katika misingi yako mwenyewe ila kama unataka wanao wawe wahuni usioe.Kwenye advancement of human life and technology ni sawa.
Ila kwenye ndoa mh, sijui ka natoa😂🤣
Mida hii Radio free Africa wanajitahidi sana kupiga ngoma za kale. Zamani kidogo walikua wakipiga rumba kama sikoseiNasikiliza kipindi cha BOLINGO TIME cha RFA. Mtangazaji ananifurahisha sana kwa kuweka nyimbo za WENGE BCBG! Nilikuwa nawapenda sana wale jamaaaa!
Uhuni hausiani na kuoa au kuto kuowa.Oa kama unataka familia bora ili uijenge katika misingi yako mwenyewe ila kama unataka wanao wawe wahuni usioe.