mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
unatakiwa uhesabu namba zote na usitumie simu uwe kitandani ujifunikechai gan wakat nimehesabu kwa makundi jamn,,, 300, 200, 100, nikaanz tena 100, 90, mpka 10 then nikahesabu kumi mpka moja sa chai iko api?
unatakiwa uhesabu namba zote na usitumie simu uwe kitandani ujifunike
Unawashwa wakukune?00:42 Walinzi wenzagu jau, shida Mna lala Sana Hadi lindo Mna lisahau.
Wamkune baba yako Ina tosha
π₯²π₯²π₯²πββοΈππ usngz hauji mkuu vilio
ππππ€£π€£ tulia weweeπ€π₯²π₯²π₯²πββοΈ